Wednesday 2 November 2016

Chuo Cha Makerere Chafungwa

makelele
V 2
Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda kimefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia mgomo wa wahadhiri na wanafunzi chuoni hapo.
Hatua ya kukifunga chuo hicho imekuja kufuatia agizo la Rais wa Uganda, Yoweri Museveni na kudai kuwa ni kwa ajili ya usalama.
Tayari wanafunzi wameshaanza kufunga virago vyao na kuondoka chuoni hapo.

cwqnkdywyaairf5cwqnkdrwyaaqtvqcwqn2tpwcaabmcu

clouds stream