Friday 11 November 2016

PICHA: Obama Na Trump Walipokutana Ikulu Ya Marekani


Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais Mteule wa Taifa hilo, Donald Trump wakiwa pamoja katika Ikulu ya Marekani (White House).Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais Mteule wa Taifa hilo, Donald Trump wakiwa pamoja katika Ikulu ya Marekani (White House).V 2


Rais Obama akiongea wakati Trump akiangalia pembeni pengine akiwaza mbali sana.

Rais Obama akiongea wakati Trump akiangalia pembeni pengine akiwaza mbali sana.Wawili hao wakipeana mikono bila hata ya kuangaliana machoni.

Wawili hao wakipeana mikono bila hata ya kuangaliana machoni.Hapa Obama anajaribu kumuangalia Trump lakini bado Trump anakwepa kumtazama usoni Rais Obama.

 Hapa Obama anajaribu kumuangalia Trump lakini bado Trump anakwepa kumtazama usoni Rais Obama.Rais Mteule Trump akimtazama kwa makini Rais Obama akizungumza pengine katika hali ya kutoamini kile kinachosemwa na Rais huyo.

Rais Mteule Trump akimtazama kwa makini Rais Obama akizungumza pengine katika hali ya kutoamini kile kinachosemwa na Rais huyo.Hatimaye kuna jambo likawachekesha wote.

Hatimaye kuna jambo likawachekesha wote.Upande wa pili wake wa wawili hao walipata wasaa wa kuzungumza pia.

 Upande wa pili wake wa wawili hao walipata wasaa wa kuzungumza pia.

clouds stream