Wednesday 2 November 2016

YANGA YA SHINDWA KUTAMBA MBELE YA MBEYA CITY

yanga-vs-mbeya

V 2
Mbeya City imeitwanga Yanga kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, leo.

Kipigo hicho kinakuwa ni cha pili kwa Yanga baada ya kufungwa na Stand United bao 1-0 pia.

clouds stream