Sunday 13 November 2016

Usain Bolt kujiunga na Borussia Dortmund

Bingwa wa mbio za mita 100 duniani Usain Bolt

Bingwa wa mbio za mita 100 duniani 

Klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund inesema kuwa mwanariadha wa mbio fupi kutoka Jamaica Usain Bolt atashiriki mazoezi na klabu hiyo kwa siku chache.

Bolt amekuwa akisema kwamba angependa kucheza soka baada ya kustaafu katika riadha.

Mashabiki wa klabu ya Borussia Dortmund
Mashabiki wa klabu ya Borussia Dortmund

Lakini wakimkaribisha, maafisa wa klabu hiyo wamesema kuwa hakuna hakiksho kwamba mwanariadha huyo ataichezea klabu hiyo katika siku za usoni

clouds stream