Tuesday 1 November 2016

TRA Kupiga Mnada Mali Na Mabasi Ya Mohamed Trans


mo-transV 2

Mali za kampuni ya Mohamed Trans Limited zinatarajiwa kupigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kulipa limbikizo la kodi lililokuwa ikidaiwa kampuni hiyo.

Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine, inamiliki mabasi ya Mohamed Trans yanayofanya safari zake kwenye mikoa mbalimbali nchini.

Kwa mujibu wa tangazo linaloonekana kusambaa mitandaoni, mnada huo utaendeshwa na Kampuni ya udalali ijulikanayo kama Sukah Security Company Limited Auction Mart & Court Broker mnamo tarehe November 4, mwaka huu.mnada

clouds stream