Tuesday 10 October 2017

WALIOKUFA AJALI YA HIACE ZIWA VICTORIA WAFIKA 12





Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema hayo leo muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo.
Amesema katika ajali hiyo ni watu watatu wameokolewa wakiwa hai. Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea.


clouds stream