Wednesday 11 May 2016

Video Na Picha Jinsi Man United Walivyopigwa Mawe

Video Na Picha Jinsi Man United Walivyopigwa Mawe

Tarehe May 11, 201613164291_615768031910312_5370338923730787821_n13178917_615767995243649_3917805505136616853_n
13164291_615768031910312_5370338923730787821_n13177269_615768018576980_6266804705848283358_n
Jana ilikuwa siku mbaya kwa Manchester United baada ya kukubali kufungwa na West Ham jumla ya magoli matatu kwa mawili.
Baada ya mchezo kumalizika wakati basi la timu hiyo likitoka mashabiki wa timu hiyo walianza kurusha mawe na chupa na kupelekea kuvunja vioo vya basi hilo.
Matandao huu umekuwekea Video na picha la tukio hilo

13164291_615768031910312_5370338923730787821_n
13178917_615767995243649_3917805505136616853_n
13177269_615768018576980_6266804705848283358_n

clouds stream