Tuesday 13 September 2016

Wawili Wafa Kwa Kupigwa Radi Mkoani Kagera.

Tarehe September 13, 2016
1

Wakati maafa ya tetemeko la ardhi lililoikumba Kanda ya Ziwa hasa Mkoani Kagera likiwa halijasahaulika, imeripotiwa kuwa watu wawili wamefariki dunia Mkoani humo baada ya kupigwa na radi.

Watu hao walipigwa na radi hiyo eneo la Mtukula, mkoani Kagera kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha katika eneo hilo.

clouds stream