Monday 7 September 2015

Arturo Vidal atimuliwa timu ya Taifa

Arturo Vidal atimuliwa timu ya Taifa

,Arturo Vidal
Mchezaji wa timu ya taifa ya chile na klabu ya Bayern Munich ya Ujeruman,Arturo Vidal amefukuzwa na kocha wake Jorge Sampaoil
Ikumbukwe kuwa Timu ya taifa ya chile ipokatika maandalizi ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Paraguay,ambapo wachezaji wote wapo kambini na wanaendelea na mazoezi lakini Vidal aliripoti kwenye kambi ya timu hiyo jumanne mchana akiwa amelewa.
Kwa kitendo hicho kocha wake hakupendezwa nacho hivyo alimrudhisha kwa kumwambia arudi ujerumani hadi pale atakapokuwa tayari.

clouds stream