Sunday 13 September 2015

Winchi laua 87 Msikiti wa Makka

Winchi laua 87 Msikiti wa Makka


Winchi likiwa limeangukia Msikiti Mtukufu wa Makka.
Winchi likiwa limeangukia Msikiti Mtukufu wa Makka.
Watu 87 wamekufa na wengine 200 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti mtukufu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Ajali hiyo imetokea wakati mvua kubwa ikinyesha, huku shughuli za maandalizi kwa ajili ya mahujaji zikiendelea.
Magari takriban mia moja ya kubebea wagonjwa yanaendelea ma zoezi la kuwachukua majeruhi kuwawahisha hospitali kwa matibabu.
Tayari serikali ya Saudi Arabia imeanza uchunguzi kutaka kujua kwanini winchi liangukie katika msikiti mtukufu wa Makka.

clouds stream