Sunday 13 September 2015

Steve Naismith apiga Hat-trick,Chelsea yapigwa 3-1 na Everton

Steve Naismith apiga Hat-trick,Chelsea yapigwa 3-1 na Everton


Steve Naismith wa Everton
Klabu ya Chelsea leo imepata kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya Everton katika mchezo ligi kuu ya uingereza huku Steve Naismith wa Everton akipiga Hat-trick
Steven Naismith alifunga goli la kwa dakika ya  17 kipindi cha pili na kurudi tena kambani dakika ya  22 kuifungia Everton goli la pili na kuitimisha dakika ya  82 kwa kuifungia goli la tatu.
Dakika ya 36 kipindi cha kwanza Nemanja Matic aliipatia Chelsea bao la kufutia machozi,Mpaka mpira unamalizika Chelsea walitoka vichwa chini kwa kuchapwa 3-1

clouds stream