Thursday 3 September 2015

Mafuriko ya Lowassa mkoani Ruvuma

Mafuriko ya Lowassa mkoani Ruvuma


Mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa akiwahutubia wananchi mkoani Ruvuma.
Lowassa akiwahutubia wananchi mkoani Ruvuma.
Wananchi katika mkutano wa Lowassa mkoani Ruvuma.
Mgombea urais  wa UKAWA Edward Lowassa amepata mapokezi makubwa mkoani Ruvuma alipowasili na kuwahutubia wananchi mkoani humo.

clouds stream