Wednesday 2 September 2015

Dr. Slaa ajiuzulu Chadema

Dr. Slaa ajiuzulu Chadema


Katibu Mkuu Chadema Dk.Wilbrod Slaa anazungumza na Waandishi wa Habari katika Hotel ya Serena Hotel jijini Dar es salaam.
Katibu mkuu wa Chama cha Chadema  Dr. Wilborad  Slaa  ametangaza kujiuzulu rasmi  kuwa mwanachama wa Chadema  na kustaafu siasa kwa ujumla.

clouds stream