Sunday 13 September 2015

Matokeo Mechi za ufunguzi VPL yapo hapa


Matokeo Mechi za ufunguzi VPL yapo hapa




Azam FC 2-1 Tanzania Prisons (Azam Complex, Chamazi)
African Sports 0-1 Simba (Mkwakwani, Tanga)
Ndanda FC 1-1 Mgambo JKT (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Toto Africans 1-0 Mwadui FC (CCM Kirumba, Mwanza)
Stand United 0-1 Mtibwa Sugar (Kambarage, Shinyanga)
Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu (Majimaji, Songea)
Mbeya City FC 0-1 Kagera Sugar
Kesho utachezwa mchezo mmoja wa ligi kuu Tanzania bara kwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

clouds stream