Sunday 16 October 2016

Mtanzania Aliyeunda ‘Chopa’ Aja Na Ubunifu Mwingine

Tarehe October 17, 2016 
adam-auto-gV 2

Mtanzania Adam aliyevuma hivi karibuni baada ya kuunda helikopta ‘Chopa’ ameibuka na ubunifu mwingine ambapo safari hii amedai kutengeneza mashine yenye uwezo mkubwa wa kufyatua matofali ndani ya muda mfupi sana.

Mbunifu huyo kutoka Tunduma, Mkoani Songwe aliyeunda helikopta inayotumia injini ya gari hapo awali, amesema mashine hiyo ya kufyatua matofali itakuwa na uwezo wa kufyatua matofali 2000 ya udongo pamoja na saruji (cement) kwa saa moja tu.

clouds stream