Monday 17 October 2016

Watu 4 Wafariki Dunia,18 Wajeruhiwa Ajali Basi La Barcelona Lindi

Tarehe October 18, 2016
ajali1V 2
Baadhi ya wananchi wakitoa msaada kwa majeruhi wa ajali basi la Barcelona jana mkoani Lindi

Basi la Kampuni ya Barcelona linalofanya safari zake kati la Lindi na Dar es salaam leo limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya watu 4 huku watu wengine 8 wakijeruhiwa.

Kwa mujibu wa taarifa za awali zimebainisha kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Miteja mkoani Lindi huku chanzo cha ajali hiyo kikidaiwa kuwa ni Mwendokasi.

Hadi sasa zoezi la uokoaji linaendelea.ajari2

Baadhi ya Majeruhi basi la Barcelona jana.

clouds stream