Saturday 8 October 2016

Ndege Mpya ATCL Kutikisa Anga Oktoba.

Tarehe October 9, 2016
Moja ya Ndege Mpya za ATCL.V 1
Moja ya Ndege Mpya za ATCL. Hatimaye zile Ndege Mpya za shirika la Ndege la Serikali ATCL zinatarajia kuanza kulitikisa anga la Tanzania na nchi za nje kuanzia Oktoba 15 mwaka huu.
ATCL ambayo ina ndege tatu hadi sasa zitaanza safari za Mwanza, Arusha, Zanzibar, Kigoma, Tabora, Mbeya, Mtwara, Kilimanjaro, Bukoba, Dodoma na Mpanda.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo pia ndege hizo zitafanya safari kwenda Comoro, Nairobi na Entebbe.

clouds stream