Monday 18 May 2015

BREAKING: Simba wamuacha rasmi kocha wake

BREAKING: Simba wamuacha rasmi kocha wake


CFRank4W0AEdiwp
Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam maeneo ya Msimbazi imeachana na kocha wake mkuu Goran Kopunovic kufuatia kutoafikiana juu ya malipo.

clouds stream