Monday 4 May 2015

Habari picha, Simba walivyoitandika Azam

Habari picha, Simba walivyoitandika Azam

Mlinzi wa Azam FC AggreyMorris akiondosha hatari langoni mwake mbele ya Emanuel Okwi
Mlinzi wa Azam FC AggreyMorris akiondosha hatari langoni mwake mbele ya Emanuel Okwi
Jana kikosi cha ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba kilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa.
Hizi ni picha zinazoonesha baadhi ya matukio mbalimbali yaliyookea kwenye uwanja wa Taifa wakati wa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC.
Vijana wakioneshana kazi kwenye mchezo wa jana
Vijana wakioneshana kazi kwenye mchezo wa jana
Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akichuana na Aggrey Morris
Ramadhani Singano ‘Messi’ (kushoto) akichuana na Aggrey Morris
Ramadhani Singano akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Azam FC
Ramadhani Singano akitafuta mbinu za kumtoka Gadiel mlinzi wa Azam FC
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia goli lao la kusawazisha
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia goli lao la kusawazisha
Said Ndemla akiondoka na mpira mbele ya Shomari Kapombe
Said Ndemla akiondoka na mpira mbele ya Shomari Kapombe
Ramadhani Singano 'Messi' (kulia) akishangilia goli aliloifungia Simba pamoja na mchezaji mwezake Ibrahim Ajib
Ramadhani Singano ‘Messi’ (kulia) akishangilia goli aliloifungia Simba pamoja na mchezaji mwezake Ibrahim Ajib
Wachezaji wa Simba SC wakishangilia kwa pamoja baada ya Ramadhani Singano kuifungia timu yao goli la pili na la ushindi dhidiya Azam
Wachezaji wa Simba SC wakishangilia kwa pamoja baada ya Ramadhani Singano kuifungia timu yao goli la pili na la ushindi dhidiya Azam
Mgolikipa wa Simba Hussein Sharrif (kushoto) akiwa na Manyika Jr baada ya mchezo wa jana, makipa hao ni majeruhi
Mgolikipa wa Simba Hussein Sharrif (kushoto) akiwa na Manyika Jr baada ya mchezo wa jana, makipa hao ni majeruhi
Wachezaji wa Simba SC ambao hawakuwa sehemu ya wachezaji waliocheza jana walikuwepo pia uwanjani kushuhudia mchezo
Wachezaji wa Simba SC ambao hawakuwa sehemu ya wachezaji waliocheza jana walikuwepo pia uwanjani kushuhudia mchezo

clouds stream