Monday 18 May 2015

Watu 9 wauawa,18 wajeruhiwa katika shambulio

Watu 9 wauawa,18 wajeruhiwa katika shambulio


Baadhi ya majeruhi wakipata msaada kutokana na shambulio.
Baadhi ya majeruhi wakipata msaada kutokana na shambulio.
Polisi nchini Marekani wamesema kuwa watu tisa wameuawa na watu wengine 18 kujeruhiwa  katika shambulio lililotekelezwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki katika mgahawa mmoja katika mji wa Waco.
Kwa mujibu wa  maofisa katika mji huo wanasema kuwa walibaini mkusanyiko kati ya watu watano walioonekana kupanga jambo lisilo la kawaida.
Watu hao  waliokuwa katika mgahawa huo walijificha katika chumba cha majokofu katika harakati za kujiokoa kabla ya kusaidiwa na Polisi kutoka katika eneo hilo.

clouds stream