Wednesday 11 March 2015

BREAKING:Zitto Kabwe avuliwa uanachama Chadema

BREAKING:Zitto Kabwe avuliwa uanachama Chadema


Mwanasheria mkuu wa CHADEMA,Tundu Lissu ametangaza rasmi  kumvua  uanachama Mbunge wa  Kigoma  Kaskazini  Zitto Kabwe.

Aidjha, akifafanua  jambo hilo Tundu  Lissu amesema  iwapo mwanachama atafungua kesi dhidi ya chama na iwapo atashidwa atakuwa amejiondoa mwenyewe.

clouds stream