Monday 16 March 2015

Mapokezi ya Zitto Kabwe ni Balaa

Mapokezi ya Zitto Kabwe ni Balaa


Wananchi wamempokea kwa shangwe mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe mara baada ya kuwasili  mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi katika jimbo lake.
Maelfu ya wananchi wameminimika barabarani huku kelele za shangwe zikisikika ambazo zinataja jina lake.
Katika hatua nyingine, Chama cha Demkorasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza hivi karibuni kumvua uanachama  Zitto kwa madai ya kufungua kesi inayopinga kujadiliwa katika chama chake hata hivyo alishindwa na kuamriwa  alipe gharama za kuendeshea kesi hiyo katika mahakama Kuu ya Tanzania.

clouds stream