Sunday 1 March 2015

Ratiba ya kuuaga mwili wa Marehemu Kapt Komba

Ratiba ya kuuaga mwili wa Marehemu Kapt Komba



Ratiba  ya kuuga mwili  wa  aliyekuwa Mbunge wa jimbo Mbinga Magharibi Kapt. John Komba imetoka. Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Marehemu John Komba ataagwa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam kesho na atazikwa nyumbani kwake Lituhi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.
Kwa taarifa zaidi soma hapa,

clouds stream