Monday 8 February 2016

Angalia Jinsi DRC Walivyobeba Mwali Wao Picha Na Video Angalia Hapa

Angalia Jinsi DRC Walivyobeba Mwali Wao Picha Na Video Angalia Hapa

Tarehe February 8, 2016
12651313_1208414445853471_7281830203153013276_n
Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetwaa ubingwa wa kombe la Chan baada ya kuichapa Mali kwa mabao 3-0.
Picha na Video jinsi mchezo ulivyokuwa nimekuwekea hapa
wachezaji wakiwa katika hali ya furaha
wachezaji wakiwa katika hali ya furaha

clouds stream