Saturday 6 February 2016

Yaliyojiri Maadhimisho Miaka 39 Kuzaliwa CCM

Tarehe February 6, 2016
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wana CCM na wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Namfua Singida.

Matukio katika picha yaliyojiri kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa chama acha Mapinduzi (CCM) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Namfua Singida.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili uwanjani hapo .

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Mh. Rais John Pombe Magufuli.

Baadhi ya wasanii walioshiriki maadhimisho hayo.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.

clouds stream