Monday 8 February 2016

P-Square Walitua Stamford Bridge Kuishuhudia Chelsea Ikikipiga Na Man United

P-Square Walitua Stamford Bridge Kuishuhudia Chelsea Ikikipiga Na Man United

Tarehe February 8, 2016
Peter wa P-square
Peter wa P-square
Kundi la wasanii mapacha kutoka Nigeria maarufu kama P-square Katika kuonyesha kuwa wanamapenzi na Chelsea waliamua kufunga safari kutoka Nigeria kwenda London kushuhudia Chelsea ikimenyana na Man United katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1.
Kabla ya hapo wanamuziki hao walipost video wakiwa Airport wakielekea London na mara baada ya mpira kuanza mmoja wao alipost picha na kuandika maneno yakuatayo’ Reporting live from Stamford Bridge👍🏾😊 Chelsea Vs Man United‪#‎upchelsea

clouds stream