Thursday 10 March 2016

Chelsea ‘Out’ Ligi Ya Mabingwa Ulaya,PSG Yaitandika 2-1


Chelsea ‘Out’ Ligi Ya Mabingwa Ulaya,PSG Yaitandika 2-1


Tarehe March 10, 2016
zlatan ibrahimovic akishangilia
zlatan ibrahimovic akishangilia
Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imeaga rasmi ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuruhusu kufungwa magoli mawili kwa moja na Paris Saint Germain katika mchezo uliomalizika usiku wa kuamkia leo.
Katika mchezo wa awali uliochezwa Uingereza PSG waliondoka na ushindi wa bao 2-1 na kwa ushindi wa leo Chelsea anakuwa ametoka kwa jumla ya magoli 4-2.
katika mchezo wa leo magoli ya PSG yalifungwa na Rabiot dakika ya 16 na Ibrahimovic dakika ya 67 huku Diego Costa akifunga moja kwa Chelsea dakika ya  27

clouds stream