Friday 11 March 2016

Rais Kagame Ni Shabiki Wa Kutupwa Wa Yanga,Sasa Sijui Itakuwaje Hapo Amohoro Kesho

Rais Kagame Ni Shabiki Wa Kutupwa Wa Yanga,Sasa Sijui Itakuwaje Hapo Amohoro Kesho

Tarehe March 11, 2016
Rais Kagame akikabidhiwa jezi ya Yanga
Rais Kagame akikabidhiwa jezi ya Yanga
Hakuna Shabiki wa Yanga ambaye ajui kuwa, Rais Paul Kagame wa Rwanda ni Shabiki mwenzake ukija katika timu za hapa nchini.
Rais huyo amekuwa akikiri mara kadhaa kuwa  yeye ni shabiki wa kutupwa wa Yanga Afrika, mnamo 25 Agosti, 2012 aliwaalika Yanga ikulu kwake.Alishiriki na timu yetu chakula cha jioni ikiwa pamoja na kukabidhiwa jezi.
Timu yake ya kazini (APR) itacheza na timu ya rohoni kwake (Yanga) siku ya jumamosi!Namkumbusha tu Rais Kagame awe makini mno na ushangiliaji wa magoli ya Yanga maana ataweza ibua hisia tofauti kwa Wanyarwanda.
Rais Kagame akipokea kombe la ubngwa wa Tanzania bara ambalo Yanga walichukua
Rais Kagame akipokea kombe la ubingwa wa Tanzania bara ambalo Yanga walichukua msimu wa 2012

clouds stream