Monday 14 March 2016

Dr. Mashinji Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu Chadema

Dr. Mashinji Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu Chadema

Tarehe March 12, 2016
Dr Vicent Mashinji Katibu mkuu mpya Chadema.
Dr. Vicent Mashinji Katibu mkuu mpya Chadema.
Hatimaye , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) usiku  huu  kimemteua Dr. Vicent Mashinji  kuwa katibu mkuu mpya wa chama hicho.
Dr. Masinji anachukua  nafasi iliyoachwa wazi na Dr.Wilbrod  Slaa ambaye alijiuzulu wadhifa  huo mwaka  jana.
Aidha, Katibu mkuu mpya Dr. Mashinji  amewahi kuwa daktari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

clouds stream