Monday 4 July 2016

Arsenal Wakubali Kumsajili Mjapan


Tarehe July 4, 2016OSAKA, JAPAN - DECEMBER 13: Takuma Asano of Sanfrecce Hiroshima during the FIFA World Club Cup match between TP Mazembe and Sanfrecce Hiroshima at Osaka Nagai Stadium on December 13, 2015 in Osaka, Japan.  (Photo by Matthew Ashton - AMA/Getty Images)
OSAKA, JAPAN - DECEMBER 13: Takuma Asano of Sanfrecce Hiroshima during the FIFA World Club Cup match between TP Mazembe and Sanfrecce Hiroshima at Osaka Nagai Stadium on December 13, 2015 in Osaka, Japan.  (Photo by Matthew Ashton - AMA/Getty Images)
Takuma Asano
Arsenal wamekubali kumsajili mshambulizi chipukizi kutoka Japan, Takuma Asano baada ya kukamilisha vipimo vyake vya afya.
Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na the Gunners akitokea klabu ya nyumbani ya Sanfrecce Hiroshima.
Arsenal imechapisha kwenye tovuti yake picha za mashambulizi huyo na kumkaribisha uwanjani Emirates.
Takuma amewahi kuichezea Japan katika mechi 5 za kimataifa.

clouds stream