Saturday 16 July 2016

First Eleven Ya Yanga Dhidi Ya Medeama Hii Hapa


Tarehe July 16, 2016Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Yanga
kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amefanya mabadiliko  katika kikosi chake kitakachoivaa Medeama ya Ghana katika pambano la leo.
Mabadiliko hayo yamehusisha kuwatupa benchi Haruna Niyonzima na Juma Mahadhi walioanza pambano dhidi ya TP Mazembe ambalo licha ya Yanga kucheza vizuri hawakufanikiwa kuisumbua ngome ya TP Mazembe.
Thaban Kamusoko amesogezwa mbele kucheza kama namba nane huku Mbuyu Twite aliyecheza kama beki wa kushoto akipelekwa namba sita.
kikosi Kamili: Deo Munishi, Juma Abdul, Oscar Joshua, Kelvin Yondani, Vincent Bossou, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Thaban Kamusoko, Donald Ngoma, Amissi Tambwe, Obren Chirwa.
Akiba: Ally Mustapha, Nadir Haroub, Vicent Andrew, Juma Mahadhi, Malimi Busungu, Said Makapu, Haruna Niyonzima

clouds stream