Tuesday 12 July 2016

Kikosi Bora Euro 2016 Hiki Hapa,Pepe Hayupo


Tarehe July 12, 2016wachezaji wa Ureno wakisherehekea
wachezaji wa Ureno wakisherehekea
wachezaji wa Ureno wakisherehekea
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, anayechezea Real Madrid ya Uhispania, ni miongoni mwa wachezaji walioorodheshwa kwenye kikosi bora cha michuano ya Euro 2016 kilichotangazwa na Shirikisho la Soka Ulaya, Uefa,Ronaldo aliwahi kujumuishwa katika kikosi sawa mwaka 2004 na mwaka 2012.
Awali, kulikuwa kukitajwa kikosi cha wachezaji 23 lakini wakati huu kumetajwa kikosi cha wachezaji 11
Kikosi kamili kinajumuisha (4-2-3-1):
Rui Patrício (Ureno); Joshua Kimmich (Ujerumani), Jérôme Boateng (Ujerumani), Pepe (Ureno), Raphaël Guerreiro (Ureno); Toni Kroos (Ujerumani), Joe Allen (Wales); Antoine Griezmann (Ufaransa), Aaron Ramsey (Wales), Dimitri Payet (Ufaransa); Cristiano Ronaldo (Ureno),Raia mwenzake, Pepe pia yupo kwenye kikosi hicho na aliwahi pia kujumuishwa 2008 na 2012.

clouds stream