Friday 3 June 2016

FAIDA ZA KULA FENESI

Tunda hili lipo karibu kila kona ya nchi yetu. Leo tulitazame kiuchache lilivyo muhimu pia kulitumia kwa muhutasari kiuchache tulitazame nini faida zake kwetu

1 Fenesi hutusaidia kuuweka sawa msukumo wa damu mwilini.

2 Huwasaidia hasa wenye tatizo la kubanwa na punzi hasa wagonjwa wa pumu.

3 Husaidia kuimarisha koo  dhidi ya matezi ya shingo (Thyroid).

4 Husaidia kuboresha mmeng’enyo wako wa chakula katika tumbo.

5 Huimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.

6 Huzuia uwezekano wa kupatwa na saratani ( Cancer).

7 Huzuia ugonjwa wa (Anemia).

8 Huupatia mwili nguvu.

9 Huimarisha mifupa.

10 Huimarisha macho (Uoni wa macho) na Ngozi

clouds stream