Monday 27 June 2016

Inatia Raha Sana Jerry Muro Na Simba Fc Washikana Kuichapa Mazembe


Tarehe June 27, 2016Jerry Muro akiwa na Mashabiki  wa Simba Fc leo makao makuu ya Yanga
Jerry Muro akiwa na Mashabiki  wa Simba Fc leo makao makuu ya Yanga
Jerry Muro akiwa na Mashabiki wa Simba Fc leo makao makuu ya Yanga
Katika tukio lisilo la kawaida katika makao makuu ya Klabu ya Yanga rangi nyekundu ziliingia klabuni hapo na kuimba nyimbo za kizalendo kuwaunga mkono watani wa jadi wanaoshuka dimabni kesho kukipiga na Tp Mazembe.
Kitendo hicho kimefanywa na Jerry Muro ambaye ni Afisa Habari wa Yanga na mashabiki wawili wa Simba aliongea nao kuhusu suala la uzalendo.
Muro aliwaomba watanzania wote kufika kesho kuishangilia Yanga bila ya kujali itikadi za timu zao

clouds stream