Sunday 12 June 2016

Matokeo Uchaguzi Yanga : Viongozi Wapya Hawa Hapa Wakiongozwa Na Manji




Tarehe June 12, 2016
Yusuf Manji akichukua karatasi za kupigia kura
Yusuf Manji akichukua karatasi za kupigia kura
Nimekuwekea matokeo rasmi ya uchaguzi wa Yanga uliofanyika jana katika ukumbi wa Diamond Jubelee jijini Dar es Salaam kama ifuatavyo
MWENYEKITI NI

Yussuf Mehboob Manji
MAKAMU M/ KITI
 Clement Sanga
Wajumbe 8 Yanga ni:-
1. Omary Ameir
2. Siza Lyimo
3. Salum Mkemi
4. Thobius Lingalangala
5. Ayoub Nyenzi
6. Samwel Lukumay
7. Hashim Abdallah
8. Hussein Mnyika

clouds stream