Saturday 11 June 2016

Magufuli Amteua Mwigulu Nchemba Waziri Mambo Ya Ndani

Magufuli Amteua Mwigulu Nchemba Waziri Mambo Ya Ndani

Tarehe June 12, 2016Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba.
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba.
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa waziri wa kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri mambo ya ndani ya nchi akiziba nafasi ya Charles Kitwanga.
Aidha,Rais Magufuli amemteua Mbunge wa Buchosha Dkt. Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi.
Kwa mujibu ya kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imebainisha kuwa Mawaziri hao walioteuliwa wataapishwa jumatatu ya tarehe 13, june Ikulu jijini Dar es salaam.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga aling’olewa madarakani kutokana na kuingia Bungeni akiwa amelewa.

clouds stream