Wednesday 21 January 2015

AFCON:Ivory Coast na Guinea zatoka sare

AFCON:Ivory Coast na Guinea zatoka sare

61348_heroa
Ivory Coast ikiongozwa na wachezaji mastaa Yaya Toure,Kolo Toure na Gervihno yalazimishwa sare ya 1-1 na Guinea kwenye mchezo wa kundi D uliokuwa mkali sana.Magoli ya timu zote mbili yamefungwa katika vipindi tofauti, Guinea ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia mshambuliaji Yattara kwenye dakika ya 36 huku Ivory Coast wakisawazisha kwenye dakika ya 72 kupitia kwa Doumbia Seydou.

clouds stream