Thursday 29 January 2015

Simba wavutwa sharubu wapigwa 2-1 na Mbeya City

Simba wavutwa sharubu wapigwa 2-1 na Mbeya City

Wachezaji wa Mbeya City wakishangilia mara baada ya pambano kumalizika
Goli lililofungwa na mchezaji Ibrahim Ajib kwenye dakika ya 24 kwenye mchezo wa kiporo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba na Mbeya City uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Bao hilo lilisaidia Simba kuongoza kwenye kipindi cha kwanza chote kabla ya Mbeya City kurudisha bao hilo kwenye dakika ya 77 na kuongeza la pili kwa njia ya penati kwenye dakika za lala salama,mpaka mwisho wa mchezo Mbeya City 2-1.
B8cGCqpIAAE-ib3 (1)
Mashabiki wa Mbeya City wakiishangilia timu yao
simba
Wachezaji wa Simba wakishangilia goli kwenye dakika ya 24

clouds stream