Monday 26 January 2015

Msimamo wa ligi kuu nchini Tanzania

Msimamo wa ligi kuu nchini Tanzania


10891614_888409524532738_667321390209423194_n

Baada ya kutoka sare ya 1-1 na Simba, Azam wanaendeleza uongozi wa ligi kuu nchini Tanzania huku wakifuatiwa na Yanga na Ruvu JKT kwenye nafasi ya tatu. Azam ambao ni mabingwa watetezi wanaendeleza uongozi baada ya sare hiyo na Simba kwenye uwanja wa Taifa.
table

clouds stream