Saturday 17 January 2015

Yanga yaivaa Ruvu Shooting Cannavaro, Twite na Dida wakiwa nje

Yanga yaivaa Ruvu Shooting Cannavaro, Twite na Dida wakiwa nje

Nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' akiongea na waandishi wa Habari Zanzibar.
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akiongea na waandishi wa Habari Zanzibar.
Mabingwa wa zamani wa ligi kuu ya Tanzania bara, klabu ya Dar es salaam Young Africans (Yanga) imeingia uwanjani kucheza na Ruvu Shooting ikiwa haina nyota wake watatu katika safu ya ulinzi akiwemo Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Mbuyu Twite na kipa Deogratus Munishi ‘Dida’.
Hadi sasa mchezo huo ukiwa umefikia dakika ya 10 timu zote zikiwa hazijafungana, Yanga inayonolewa na Kocha Hans Van Der Pluijm ameamua kumuanzisha mlinda lango namba mbili Ally Mustafa ‘Bartez’

clouds stream