Sunday 25 January 2015

Prof. Muhongo ajiuzulu

Prof. Muhongo ajiuzulu

Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo akitangaza kujiuzulu leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo akitangaza kujiuzulu leo jijini Dar es salaam.
Habari zilizotufikia hivi punde  ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake.
Mtandao wa Hivi sasa utakujulisha zaidi kuhusiana na tukio hili.

clouds stream