Thursday 29 January 2015

Ghana na Algeria zafuzu kwa kishindo kundi la kifo


Ghana na Algeria zafuzu kwa kishindo kundi la kifo


Ghana-150127-Celebrate-BPP-720 (1)
Ghana imeonyesha maajabu baada ya kutoka nyuma kwa goli 1-0 mpaka kipindi cha kwanza kinaisha na kugeuza matokea mpaka ushindi wa 2-1 mbele ya Afrika Kusini.Kwenye mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Mongomo ulianza kwa kasi sana, Mshambuliaji Mandla Masango alifunga goli kwa shuti la mbali na kumfanya kipa wa Ghana kukosa la kufanya.Ghana walisawazisha magoli mawili kwenye kipindi cha pili baada ya Kocha Avram Grant kufanya mabadiliko, magoli ya Ghana yalifungwa na John Boye(73′) na Andre Ayew (83′).
article-doc-63hn-6Vu9LRMj6-HSK1-840_634x394
Kwenye mchezo mwingine uliochezwa kwenye uwanja wa Malabo, Algeria wameshinda kwa magoli 2-0 yaliyofungwa na Riyad Mahrez(11′) na Nabil Bentaleb (82′)

clouds stream