Sunday 25 January 2015

Lungu Rais mpya Zambia

Lungu Rais mpya Zambia

Edgar Lungu rais mpya nchini Zambia.
Edgar Lungu rais mpya nchini Zambia.
Gari la kamapeni la mgombea Edgar Lungu
Gari la kamapeni la mgombea Edgar Lungu
Wananchi katika kampeni za urais nchini Zambia.
Wananchi katika kampeni za urais nchini Zambia.
Mgombea wa chama cha Patriotic Front Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia. Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa.
Alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani  Bw. Hakainde Hichilema aliyepata asilimia 46. Katika kampeni zao  wote walikuwa wameahidi kuboresha mifumo ya elimu na kubuni nafasi za ajira.
Uchaguzi huo umefanyika  kufuatia kifo cha rais Michael Sata ambaye aliaga dunia mwezi Oktoba mwaka uliopita.

clouds stream