Thursday 29 January 2015

Ronaldo afungiwa mechi mbili

Ronaldo afungiwa mechi mbili

855362_heroa
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amefungiwa mechi mbili baada ya kupatikana na kosa la kumpiga mchezaji wa Cordoba kwenye mchezo wa ligi kuu nchini Hispania.Kwenye mchezo huo ambao Real Madrid ilishinda kwa magoli 2-1.

clouds stream