Thursday 29 January 2015

BUNGENI: Zitto atoa sababu ya kukacha kuwasilisha taarifa ya PAC

BUNGENI: Zitto atoa sababu ya kukacha kuwasilisha taarifa ya PAC


Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Ujumbe wa Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa facebook.
Ujumbe wa Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa facebook.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo hakuweza kuwasilisha taarifa ya kamati ya PAC Bungeni kama ambavyo ratiba ya Bunge ilivyopangwa.
Aidha, Zitto Kabwe katika ukurasa wa facebook  ameeleza sababu ya kutokwenda kusoma ripoti ya PAC leo.Sababu kubwa amesema  ni hawezi kuona uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu akaendelea na mambo mengine kama hakuna kilichotokea.
Amesisitiza kuwa kitendo cha Polisi kutumia nguvu kupiga raia hovyo na kumdhalilisha Prof.Lipumba ni kitendo cha kulaaniwa  kwa nguvu zote.

clouds stream