Thursday 29 January 2015

Wasamaria wema wafanya wizi Olympia Club

Wasamaria wema wafanya wizi Olympia Club

rrr
ttt
Katika hali isiyo ya kiungwana mashuhuda wa moto uliotokea katika club ya Olympia, maeneo ya Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, wamefanya wizi wa mali ambazo zilifanikiwa kuokolewa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema moto huo ulianza majira ya saa 11 alfajiri ambao wamesema yawezekana moto huo ulitokana na shoti ya umeme.
Mmiliki wa club hiyo, Samwel Mwaisonga, amesema kuwa amepata hasara kubwa kutokana na kuibiwa mali ambazo ziliokolewa na wasamaria wema.

clouds stream