Tuesday 10 February 2015

Arsenal yapaa mpaka nafasi ya nne kwenye msimamo

Arsenal yachupa mpaka nafasi ya nne kwenye msimamo

_80921663_koscscoresgetty
Magoli mawili ya wachezaji Laurent Koscielny na Theo Walcott yameirusha Arsenal ilikuwa ikicheza kwenye uwanja wa nyumbani wa Emirates mpaka nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza na kusahau kabisa kichapo walichopata wikiend hii mbele ya mahasimu wao wakubwa Tottenham.
Ushindi huo wa Arsenal wa mabao 2-1 mbele ya Leicester City unaifanya kuchukua nafasi ya nne ya Manchester United, Magoli ya Arsenal yalifungwa na  Koscielny 27′ Walcott 41′ huku goli la kufutia machozi kwa upande wa Leicester City likifungwa na Andrej Kramaric kwenye dakika ya 61 ya mchezo, mpaka mwisho wa mchezo Arsenal inaibuka na ushindi huo huku shukrani za dhati ni kwa kiungo mchezeshaji wake Mesut Ozil kwa kutoa pasi zote za magoli.

clouds stream