Monday 9 February 2015

De gea aanza mazungumzo kuhusu mkataba mpya

De gea aanza mazungumzo kuhusu mkataba mpya

899832_heroa
Baada ya kuhusishwa na kuihama klabu ya Manchester United na kukimbilia nchini  Hispania yani Real Madrid,wakala wa mchezaji wa Manchester Jorge Mendez ameanza mazungumzo na klabu hiyo ili kuweza kuboresha mkataba wa kipa huyo baada ya kuonyesha kiwango cha hali ya juu mpaka vilabu kuanza kumnyemelea.
Mendes aliendelea kuwaakikishia mashabiki wa Manchester United kuhusu kipa haondoki na alikuwa hana nia ya kuelekea Real Madrid,De gea ameaonyesha kiwa ngo cha hali ya juu kwenye ligi kuu nchini Uingereza mpaka kuwekwa kwenye orodha ya makipa bora kwenye ligi kuu nchini Uingereza.

clouds stream