Wednesday 18 February 2015

Uhuru kenyatta azindua kampeni mpya ya kondomu kwa vijana

Uhuru kenyatta azindua kampeni mpya ya kondomu kwa vijana

Kampeni ya kupigana na kuongezeka maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa wanaoingia kwenye hatua ya kubalehe imezinduliwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa ongezeko la vifo kwa vijana wadogo linaonyesha kuwa kila baada ya dakika 2, kijana mmoja ufa kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.

clouds stream