Friday 13 February 2015

Blatter kutembelea Kenya mwezi ujao

Blatter kutembelea Kenya mwezi ujao

_80948859_astonvillabannerpa
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) Sepp Blatter anatarajia kutembelea nchini Kenya mwezi Machi mwaka huu ili kuzindua programu ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 5000 ulio kwenye mpango wa kuboresha mpira wa miguu kwenye nchini zisizo na uwezo.
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Kenya kupitia Sam Nyamweya limesema mpango huo utasaidia kuinua kiwango cha soka nchini na pia kushukuru mpango huo ambao umegharimu kiasi cha Dola za kimarekani laki 6.

clouds stream